Steboliza huna brotherLeo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili pamoja na taa mbili...
Nataman kujua ni namna gani naweza rudishiwa uharibifu hii na TANESCO??
Naomba Kuwasilisha
Hukuchukua tahadhari hutumii stabolizaLeo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili pamoja na taa mbili...
Nataman kujua ni namna gani naweza rudishiwa uharibifu hii na TANESCO??
Naomba Kuwasilisha
Asantee mkuuunatakiwa uripoti Tanesco ndani ya masaa 24 kwa maandishi baada ya hapo unasikilizia majibu kama watakataa unachukua hatua za kisheria
Nadhani kuna sehemu kwenye sheria za mashirika ya umma yalivyojikinga na liability za namna hiyo. Anyway seek a legal adviceLeo jion Umeme ulikatika na baada ya kurudi ulikuwa mwingi kiasi cha kuunguza vitu vyangu ambavyo ni TV 32", Decoder mbili AZAMTV na DSTV, HOMETHEATER LG WAT 100, CHARGER moja, Extention Mbili pamoja na taa mbili...
Nataman kujua ni namna gani naweza rudishiwa uharibifu hii na TANESCO??
Naomba Kuwasilisha