Natamani kujua, umfanyie nini Mtanzania ili aweze kugoma ?

Hapa kwetu, usigome wala usishawishi watu wakagoma kama bado unapenda kuwa mtu huru na Kama bado unapenda ku log in humu JF kwa amani, mwisho wa siku janga likikufika lakufika pekeyako na familia yako
 
Watz tu waoga tambua hilo mkuu kitu pekee kitakacho pelekea mgomo tz labda kuzuiwa kusex the rest watu huvumulia hivyohivyo!
 
Watz tu waoga tambua hilo mkuu kitu pekee kitakacho pelekea mgomo tz labda kuzuiwa kusex the rest watu huvumulia hivyohivyo!
Aisee [emoji15], kumbe ndio sababu madanguro maarufu kama kwa macheni na uwanja wa fisi hayafungwi....??
 
Hapa kwetu, usigome wala usishawishi watu wakagoma kama bado unapenda kuwa mtu huru na Kama bado unapenda ku log in humu JF kwa amani, mwisho wa siku janga likikufika lakufika pekeyako na familia yako
Sina familia mkuu, ila wewe ni kitu gani ukinyimwa utagoma?
 
Sioni Kwakweli. Labda kidogo uwazuie kufatilia udaku na umbea kweny social networks!
 
WEWE WAAMBIE KIINGEREZA NDIO ITAKUWA LUGHA YA TAIFA NA MAWASLIANO YOTE YAFANYIKE KWA KIINGEREZA.PILI WAAMBIE KATIKA SHEREHE ZOTE KUANZIA ZA DINI,SHULENI NA MAKAZINI HAKUNA MICHANGO KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE.KESHO YAKE KUTAKUWA NA MAANDAMANO NA KIONGOZI WA MAANDAMANO ANAWEZA KUWA BABA JESCA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…