Natamani kukimbia nchi

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,223
Wazee mimi ni shabiki wa Simba Na mwanachama nimeangalia clip za hawa wydad Casablanca aisee nahisi goli si chini ya tano tunakula taifa,nataka iki kikombe kiniepuke nahitaji kukimbia nchi Kwa muda mpka aibu hii iishe
 
Mo anatakiwa apigwe hata 20 ili afungue pochi akanunue wachezaji😜😜😜😜😜
Anafungua pochi mnawaleta wakina Sawadogo na Outarra, wachezaji wazito balaa.

Na mleta uzi yuko sahihi aibu kubwa itatukumba, nikimtazama Onyango na Mzamiru naona zile 7 huenda zikaturudia huko Morocco
 
RIVERS UTD mpinzani wa yanga.. msimu huu alikutana na Waydad casablanca katika second round ya ligi ya mabingwa africa.. matokeo yakawa Wydad 6 - Rivers 0. Ndio rivers akadondokea shirikisho ambapo kaunga unga kafika robo fainali anacheza na yanga
 
Watu wanapigwa Hadi nane huko ulaya tena ni timu kubwa duniani, watanzania tuna unyonge mwingi sana ukitaka kujua hili hata wale wenye exposure wakikutana na raia wa mataifa mengine huko nje hujihisi unyonge wa ajabu sijui ni LAANA.
 
Mwingulu ashakuchagulia Nchi ya kwenda mkuu
 
Mo anatakiwa apigwe hata 20 ili afungue pochi akanunue wachezaji[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Itabidi muishi na hao waliopo kwa Ile hotuba Mo hatanunua wachezaji zaidi ya hao alionunua I mean wa bei hiyo
 
RIVERS UTD mpinzani wa yanga.. msimu huu alikutana na Waydad casablanca katika second round ya ligi ya mabingwa africa.. matokeo yakawa Wydad 6 - Rivers 0. Ndio rivers akadondokea shirikisho ambapo kaunga unga kafika robo fainali anacheza na yanga
Bado sio team ya kubeza nashukuru sura ya kocha na wachezaji hawakuonesha bashasha kama mashabiki hii ilimaanisha wanajua upinzani watakaokutana nao
Ni fahari Leo team ya Tanzania inaona Ina haki zote za kuifunga team kutoka Nigeria taifa ambalo tumeliangalia kwenye medani za soka kwa miaka zaidi ya 30
 
Wazee mimi ni shabiki wa Simba Na mwanachama nimeangalia clip za hawa wydad Casablanca aisee nahisi goli si chini ya tano tunakula taifa,nataka iki kikombe kiniepuke nahitaji kukimbia nchi Kwa muda mpka aibu hii iishe
Nenda ukaombewe hii uliyonayo ni laana.

Washindi hawafi kabla ya vita kama wewe.
Na huu ndio uchawi unaoua timu,naamini wewe ni utopolo wala si mnyama.

Hapa unajaribu kuingiza hofu kwa wachezaji kupitia maoni ya mashabiki maandazi kama wewe.


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa Simba wanatakiwa wacheze kwa tahadhari tangu wakiwa kwa Mkapa. Wasijidanganye eti kuanza kuwashambulia waarabu kuanzia dakika ya kwanza, yaani Kapombe anashambulia, na Tshabalala yuko winga kule.

Kitakachotokea ni waarabu kupiga kaunta ataki ya maana na kwenda kumkimbiza Onyango na kufunga goli. Kwa sababu hao jamaa, one mistake, one goli

Simba wanatakiwa kucheza kwa tahadhari ili kupunguza magoli, kwa sababu msimu huu beki yao ya kati siyo imara! Inonga hawezi kucheza peka yake akazuia magoli.
 
Kazaa mtoto wa kiume wewe!!acha kujilegezalegeza na uoga wa kipuuzi!!!farlahh wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…