Natamani kumfahamu msanii Ambwene Yesaya (AY)

njujujr

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
684
Reaction score
468
Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange pili sijawahi sikia kama anabiasha nyingine zaidi ya mziki na kumiliki vipindi kama mkasi na ngazi kwa ngazi kilichokuwa kikiendeshwa na salama jabir kwa anayemfahamu huyu jamaa mbali na mziki nn anafanya? Tafadhali usipojua kausha ukileta mapovu mm pia naweza kujibu hovyo ile kiukweli.
Mwenye kumfahamu plz labda tunaweza jifunza kwake
 
Hapo kwenyenyumba jamaa ni mkazi kabisa wa calfonia marekani hili ni tatizo la jf kuedit tu mtihani sijui wanaona tutafaidi kuedit mada.
 
Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange pili sijawahi sikia kama anabiasha nyingine zaidi ya mziki na kumiliki vipindi kama mkasi na ngazi kwa ngazi kilichokuwa kikiendeshwa na salama jabir kwa anayemfahamu huyu jamaa mbali na mziki nn anafanya? Tafadhali usipojua kausha ukileta mapovu mm pia naweza kujibu hovyo ile kiukweli.
Mwenye kumfahamu plz labda tunaweza jifunza kwake
Ay ni Ambwene Yesaya alianzia na kundi la S.O.G - Space of Gangstar,Alisoma IYUNGA....Akajiunga na East Coast baadae wakaunda Duo yake ya MASAWE na KIMARIO(FA).

Nasikia ni Tajiri anamiliki MBUDYA ISLAND,Ana miliki mjengo L.A USA Baby
 
Huyo ni tajiri midomoni na kwenye makaratasi. Hana nyumba wala kibanda nchini, anafikia kwa mama yake Upanga kama rafiki yake Crazy GK.

Nje anamajumba mengi sana lakini hayapo. Hivyo ndio kifupi tunaweza kumwelezea kijana wetu mpendwa, nguli wa muziki hakuna anayemfikia Bongo lakini siyo kweli.

Nawasilisha.
 
Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange pili sijawahi sikia kama anabiasha nyingine zaidi ya mziki na kumiliki vipindi kama mkasi na ngazi kwa ngazi kilichokuwa kikiendeshwa na salama jabir kwa anayemfahamu huyu jamaa mbali na mziki nn anafanya? Tafadhali usipojua kausha ukileta mapovu mm pia naweza kujibu hovyo ile kiukweli.
Mwenye kumfahamu plz labda tunaweza jifunza kwake

We poyoyo kweli mbona kila kitu umesema unataka nini sasa akubake? Haya Sasa nijibu pumba zako nikurudie
 
Utajiri usiojulikana huwa ni wa Madawa Ya Kulevya. Certified.
 
Huyo ni tajiri midomoni na kwenye makaratasi. Hana nyumba wala kibanda nchini, anafikia kwa mama yake Upanga kama rafiki yake Crazy GK.

Nje anamajumba mengi sana lakini hayapo. Hivyo ndio kifupi tunaweza kumwelezea kijana wetu mpendwa, nguli wa muziki hakuna anayemfikia Bongo lakini siyo kweli.

Nawasilisha.
kwahiyo unataka kuniambia ile bilioni waliolipwa na tigo ameshindwa kujenga hata Chumba kimoja
 
Back
Top Bottom