Ndiyo Nini Kiongozi
Sijakuelewa Vema
Mbona Utata Unasema Wewe Unajua Mbovu
Ay ni Ambwene Yesaya alianzia na kundi la S.O.G - Space of Gangstar,Alisoma IYUNGA....Akajiunga na East Coast baadae wakaunda Duo yake ya MASAWE na KIMARIO(FA).Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange pili sijawahi sikia kama anabiasha nyingine zaidi ya mziki na kumiliki vipindi kama mkasi na ngazi kwa ngazi kilichokuwa kikiendeshwa na salama jabir kwa anayemfahamu huyu jamaa mbali na mziki nn anafanya? Tafadhali usipojua kausha ukileta mapovu mm pia naweza kujibu hovyo ile kiukweli.
Mwenye kumfahamu plz labda tunaweza jifunza kwake
Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange pili sijawahi sikia kama anabiasha nyingine zaidi ya mziki na kumiliki vipindi kama mkasi na ngazi kwa ngazi kilichokuwa kikiendeshwa na salama jabir kwa anayemfahamu huyu jamaa mbali na mziki nn anafanya? Tafadhali usipojua kausha ukileta mapovu mm pia naweza kujibu hovyo ile kiukweli.
Mwenye kumfahamu plz labda tunaweza jifunza kwake
kwahiyo unataka kuniambia ile bilioni waliolipwa na tigo ameshindwa kujenga hata Chumba kimojaHuyo ni tajiri midomoni na kwenye makaratasi. Hana nyumba wala kibanda nchini, anafikia kwa mama yake Upanga kama rafiki yake Crazy GK.
Nje anamajumba mengi sana lakini hayapo. Hivyo ndio kifupi tunaweza kumwelezea kijana wetu mpendwa, nguli wa muziki hakuna anayemfikia Bongo lakini siyo kweli.
Nawasilisha.