bribrii
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 110
- 21
mimi ni msichana,ni mwanafunzi katika chuo kikuu fulana hapa nchini mwaka wa kwanza napenda kumiliki biashara yangu mwenyewe .lakini tatizo pesa,sina mtaji wa kuniwezesha.kutimiza lengo langu .msaada wa kimawazo tafadhari mnisaidie niweze kutimiza malengo yangu.