Pamoja na majibu utakayompa money stunna. Nakushauri anza kujibana mapema angalau kwa kuweka akiba boom lako unalopata, kanyoe nywele zote kichwani ili kupunguza gharama za kusuka, vipedo usinunue, chips mayai pungua.....ninaimani baadaya ya miaka yako chuoni utakuwa umepata kianzio.