juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Lakini sijaongopa mkuuKwa jinsi ulivyoinanga hiyo radio sidhani kama wadau watakupa hiyo picha. Ngoja tusubiri.
mtoa mada acha uvivu, umetafuta picha yake google umeikosa au ni uchokozi tu? haya kwa sababu wewe ni mvivu picha zake Mr. Dachi hizo hapo.... Kwenye Google yupo na hata katika social networks nyingine kuna uwezekano pia yupo sema kwa kuwa wewe ni mvivu ndio maan hujafanikiwa kumpata...Huyu mzee hapatikani kwenye mtandao wa kijamii wowote,hapatikani Facebook,Twitter,instagram,jf,Google,YouTube,snapchat na ukute hata whatsapp hayupo huyu mzee.natamani sana kumjua sura yake,naomba mwenye picha yake atupie hapa maana ni mchambuzi mzuri sana wa habari,kama humjui sikiliza Magic fm kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne.
NB:Magic fm ndio redio ambayo ni kongwe ila imedumaa vibaya sana.haina vipindi vilivyopangika,inshot ndio redio ya zamani ambayo ni ya hovyo kupita redio zote
Asante sana,ila acha maneno ya kinafiki.we ni mwanaume sasa unapokuwa na maneno mengi nakuwa na walakini na wewe,acha masimango na majungu kijanamtoa mada acha uvivu, umetafuta picha yake google umeikosa au ni uchokozi tu? haya kwa sababu wewe ni mvivu picha zake Mr. Dachi hizo hapo.... Kwenye Google yupo na hata katika social networks nyingine kuna uwezekano pia yupo sema kwa kuwa wewe ni mvivu ndio maan hujafanikiwa kumpata...
Asante sana,ila acha maneno ya kinafiki.we ni mwanaume sasa unapokuwa na maneno mengi nakuwa na walakini na wewe,acha masimango na majungu kijana
Redio isiyokua miaka yote hiyo ikifuatia times fm,redio ya hovyo kabisaNimejikuta nacheka tu baada ya kusoma huu uzi We jamaa nuksi kweli kweli ,unamsifia Kibwana dachi halafu unaiponda Magic fm kuwa ndio redio ya zamani tena ya hovyo kweli kweli.Daaah..
Redio isiyokua miaka yote hiyo ikifuatia times fm,redio ya hovyo kabisa