Natamani kumjua Mkude Simba kwa sura

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Jamani kuna watu kama MKUDE SIMBA, BWAKILA, naishia kuwasikia kwenye audio peke yake nahitaji niwafahamu ikiwezekana kwa picha zao na majina yao halisi yakijumuishwa na majina ya uigizaji. Natanguliza shukrani
 
Mouse simba huyo
 
Jonas mkude midfield wa simba aaaaa
 
dah! umeniwahi mkuu
mi namkubali sana dr panju wa panjuani,
nimefanya sana kazi na wahindi, jamaa ananikumbusha mbali alafu anawapatia sana..
natamani sana kumjua
Sijawahi kumsikia
 
Enzi zile za matangazo ya Haki Elimu ungeuliza Fataki ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…