unajua mara nyingi watu wanakuwa kwenye uhusiano bila kutambua wapo kwa ajili gani,,inwezekana ni mazoea ndo yanafanya watu waendelee kuwa pamoja japomapenzi yamepungua,,
hizo sababu hufanya watu kuanza kutafuta mibadala bt kwa umakini kuhofia kurudia makosa tena,,hapo ndo nakupenda ila nina mtu wangu inapokuja,,,,huo ni mtizamo wangu tu ndo mana lile swala la kukomaa likaniijia kichwani pengine kwa uelewa wangu mfinyu nikiwaza hivyo
kaka nisingeweza kuoa wakati muda hujafika
nimesha omba msamaha nimesema almost kwa 60% na kwa Mungu pia bt bado tu
unajua mara nyingi watu wanakuwa kwenye uhusiano bila kutambua wapo kwa ajili gani,,inwezekana ni mazoea ndo yanafanya watu waendelee kuwa pamoja japomapenzi yamepungua,,
hizo sababu hufanya watu kuanza kutafuta mibadala bt kwa umakini kuhofia kurudia makosa tena,,hapo ndo nakupenda ila nina mtu wangu inapokuja,,,,huo ni mtizamo wangu tu ndo mana lile swala la kukomaa likaniijia kichwani pengine kwa uelewa wangu mfinyu nikiwaza hivyo
yupo mkoani kikazi kaka,,yani hapa umeji define the old u. . .Unapata logik! !
Uyo unayempenda yupo mkoa kikazi kimasomo? Mkoa ni arusha au dodoma? Xry kwaku ask!Bt its lyke napata de jà vu