Natamani kung'atwa na kunguni

Natamani kung'atwa na kunguni

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa.

Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes.

This has been my life time wish for so long.
 
Mwigulu legeza kidogo watu wanawehuka huku
 
Hostel kulikua kuna Kunguni kwenye vitanda balaa hadi tukahama kupanga mtaani. Kuna chalii tulikuanae kwenye Same Quarter anatokea zanzibar akawa anasema hajawahi kuona kunguni zanzibar hakun. Nilikua nabisha sana ila kipindi nilipofika huko sikuwahi kuwaona kabisaa...nandhani hali ya hewa ya kule hairuhusu wao kuishi. Je nawe watoka huko??
 
Beverly hills California. Pia nina condo Zurich uswis na Monaco. Nina mansion Malibu na pantihouse Bahamas.
Good tua huku Tandale kwa tumbo tutakupa kitanda na godoro lenye kunguni upate uzoefu chumba kipo karibu na mto/mtaro wa maji, nje ya chumba kuna banda la mama mchoma samaki daily anamwaga maji yenye shombo barabarani kwa hio full mainzi sio mchana sio usiku

Nikuambie tu baada ya siku 1 ukishapigwa meno na kunguni lazima huamishe kitanda utandike godoro chini na chumba ukifanyie usafi bila hivyo utapigwa meno hadi useme hiki nini na mbu ndio usiseme hakuna dawa wanaisikia

Karibu uje kufanya utalii mbu na kunguni, papasi, inzi, kupe, chawa
 
Una namba ya Mumeo, tumuite aje kukuchukua
Shut tha' fakap meen. What i want is to get bited by bed bugs and see them with my own fakin eyes so that i feel the experience. Remember it has been my life time wish At least to experience the lives of the other half the unfortunate. Tired of living the life of luxury in a heavily gated affluent neighborhood.
 
Hostel kulikua kuna Kunguni kwenye vitanda balaa hadi tukahama kupanga mtaani. Kuna chalii tulikuanae kwenye Same Quarter anatokea zanzibar akawa anasema hajawahi kuona kunguni zanzibar hakun. Nilikua nabisha sana ila kipindi nilipofika huko sikuwahi kuwaona kabisaa...nandhani hali ya hewa ya kule hairuhusu wao kuishi. Je nawe watoka huko??
Wanasema wanapenda joto hali gani huko?
 
Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa.

Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes.

This has been my life time wish for so long.

Eeh!!Kumekuchaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Njoo Kwa jirani yetu anayoo
 
Njoo Kwa jirani yetu anayoo
Vipi huyo jirani yako anafanana na wewe anipe👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
qyhltea30vq41.jpg
 
Back
Top Bottom