Beverly hills California. Pia nina condo Zurich uswis na Monaco. Nina mansion Malibu na pantihouse Bahamas.Dadadek unaishi wapi?!
Amka wewe usije ukajikojoleaBeverly hills California. Pia nina condo Zurich uswis na Monaco. Nina mansion Malibu na pantihouse Bahamas.
Mwigulu legeza kidogo watu wanawehuka hukuNasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa.
Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes.
This has been my life time wish for so long.
Hapo kwenye nzi 🤣🤣Umeshalewa, kalele mkuu
Good tua huku Tandale kwa tumbo tutakupa kitanda na godoro lenye kunguni upate uzoefu chumba kipo karibu na mto/mtaro wa maji, nje ya chumba kuna banda la mama mchoma samaki daily anamwaga maji yenye shombo barabarani kwa hio full mainzi sio mchana sio usikuBeverly hills California. Pia nina condo Zurich uswis na Monaco. Nina mansion Malibu na pantihouse Bahamas.
Una namba ya Mumeo, tumuite aje kukuchukuaBeverly hills California. Pia nina condo Zurich uswis na Monaco. Nina mansion Malibu na pantihouse Bahamas.
Shut tha' fakap meen. What i want is to get bited by bed bugs and see them with my own fakin eyes so that i feel the experience. Remember it has been my life time wish At least to experience the lives of the other half the unfortunate. Tired of living the life of luxury in a heavily gated affluent neighborhood.Una namba ya Mumeo, tumuite aje kukuchukua
Wanasema wanapenda joto hali gani huko?Hostel kulikua kuna Kunguni kwenye vitanda balaa hadi tukahama kupanga mtaani. Kuna chalii tulikuanae kwenye Same Quarter anatokea zanzibar akawa anasema hajawahi kuona kunguni zanzibar hakun. Nilikua nabisha sana ila kipindi nilipofika huko sikuwahi kuwaona kabisaa...nandhani hali ya hewa ya kule hairuhusu wao kuishi. Je nawe watoka huko??
Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa.
Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes.
This has been my life time wish for so long.
Mbona Dubai palm Jumiriah nina apartment sijawahi kuwaona na nyuzi joto inafikaga hadi 50 CWanasema wanapenda joto hali gani huko?
Njoo Kwa jirani yetu anayooNasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa.
Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes.
This has been my life time wish for so long.
Vipi huyo jirani yako anafanana na wewe anipe👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Njoo Kwa jirani yetu anayoo
Kalale mkuuF*c*y of , show off , i wish to murder someone