N Njoro wa Uba New Member Joined Dec 20, 2024 Posts 4 Reaction score 15 Jun 7, 2025 #1 Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini. Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi). Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi umri ili awe mke wangu wa ndoa. Naahidi nitamskikiza na kumtii kwa kila kitu akitakacho, email yangu hapo chini mathiasboniphace373@gmail.com
Natumai mu bukheri wa afya hapa jamvini. Me kjana shabab shupavu miraba minne, nmekua na hisia kali sana kwa wanawake watu wazima (mishangazi). Nimekua nataman sana kuoa mwanamke anaenizidi umri ili awe mke wangu wa ndoa. Naahidi nitamskikiza na kumtii kwa kila kitu akitakacho, email yangu hapo chini mathiasboniphace373@gmail.com
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Jun 7, 2025 #2 Kila la heri mkuu
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Jun 7, 2025 #3 Kupanga ni kuchagua...
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Jun 7, 2025 #4 Marioo,,,! Acha kupenda dezo/vya bure utakuja ufukuliwe mtaro
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,590 Reaction score 11,395 Jun 7, 2025 #5 Sema unataka kutunzwa hutaki tafuta pesa zako,eti unatamani mtu mzima🤠🤠🤠
Q Quencher JF-Expert Member Joined Jun 19, 2024 Posts 1,231 Reaction score 3,696 Jun 7, 2025 #6 sawa wanakuja, wamekusikia Ila fanya kazi