Natamani kuolewa

Natamani kuolewa

Tanya

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
340
Reaction score
159
Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utapatiamo dada usijali ila ungeweka na sababu ya wewe ku be divorced
 
Single mothe mna matatizo mengi sana...watu wakisema humu mnawajia juu!!
Nasema hivi kilichomkimbiza mume wako, lazima kitamtafuna na huyu unayemtafuta saizi!
Ushauri tafuta bodaboda umlee, achana na habari za degree..tushashtuka hatukamatiki kizembe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu taratibu, nataka nijiposition apo si umeskia anajiweza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji378] [emoji379]
 
Back
Top Bottom