Natamani ungefunguka japo kidogo hapaMtu na mzazi mwenza hawajawahi kuiacha ndoa salama.
Tuliozalisha kabla tunalijua hilo.
Ni bora kuwa mkweli kuliko kujifariji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye shida yake mwanaume kwahiyo hata mgane ni sawa ili.mradi akidhi.vigezo na masharti
Duh mkuu taratibu, nataka nijiposition apo si umeskia anajiweza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji378] [emoji379]Single mothe mna matatizo mengi sana...watu wakisema humu mnawajia juu!!
Nasema hivi kilichomkimbiza mume wako, lazima kitamtafuna na huyu unayemtafuta saizi!
Ushauri tafuta bodaboda umlee, achana na habari za degree..tushashtuka hatukamatiki kizembe!
Sent using Jamii Forums mobile app