Natamani kuona Serikali ikisimamia haki, usawa na utu kwenye maamuzi Kama wafanyavyo CHADEMA

Natamani kuona Serikali ikisimamia haki, usawa na utu kwenye maamuzi Kama wafanyavyo CHADEMA

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Hakuna kitu kinanoga Kama kukaa kikao mkachambua hoja,mkatafuta facts za kikatiba na kisheria kisha mkatumia sheria na katiba kutoa maamuzi.

Hii nchi ina wasomi wengi na wapo CCM, nimefuatilia mjadala na mahojiano mbalimbali hakuna msomi Wala mbobezi yeyote aliyejitokeza kukosoa maamuzi ya Chadema. Hakuna kiumbe aliyenyoosha mkono kuandika chochote kuhusu mapungufu ya kisheria katika maamuzi ya CHADEMA.

Hii inaonyesha taasisi hii haifanyi mambo kwa kukurupuka inazingatia sheria, katiba, tamaduni, usawa na kila nyanja iletayo haki. Ni taasisi ambayo inakiburi Cha wasomi wenye uwezo wakukosoa adharani with fact mapungufu ya Bunge, mahakama na serikali.

Mjadala mkubwa uliopo ni kwamba sheria haitafuatwa ndani ya Bunge, mahakamani Wala serikalini kuhusu wabunge 19 ambao kimsingi si wabunge.

Walichofanya CHADEMA ndicho kinachowapa confidence wanachama wao. Hiki walichofanya Chadema ndicho ambacho mihimili yetu kwa miaka Sasa haikifanyi na hivyo kuwafanya wananchi wapoteze confidence na maamuzi ya taasisi za umma.

Maamuzi ya umma yamekuwa na matobo mengi hadi unajiuliza huko serikalini Kuna wasomi? Kibaya zaidi huoni maslahi ya nchi unaona maslahi ya watu binafsi....

I wish to see government functioning as Chadema....waiting

Nchi ikifikia kufanya maamuzi na matendo yanayokosolewa na ngazi ndogo za waelewa inabidu ijitafakari.......
 
Hakuna kitu kinanoga Kama kukaa kikao mkachambua hoja,mkatafuta facts za kikatiba na kisheria kisha mkatumia sheria na katiba kutoa maamuzi.

Hii nchi ina wasomi wengi na wapo ccm, nimefuatilia mjadala na mahojiano mbalimbali hakuna msomi Wala mbobezi yeyote aliyejitokeza kukosoa maamuzi ya Chadema. Hakuna kiumbe aliyenyoosha mkono kuandika chochote kuhusu mapungufu ya kisheria katika maamuzi ya Chadema.

Hii inaonyesha taasisi hii haifanyi mambo kwa kukurupuka inazingatia sheria, katiba, tamaduni, usawa na kila nyanja iletayo haki. Ni taasisi ambayo inakiburi Cha wasomi wenye uwezo wakukosoa adharani with fact mapungufu ya Bunge, mahakama na serikali.

Mjadala mkubwa uliopo ni kwamba sheria haitafuatwa ndani ya Bunge, mahakamani Wala serikalini kuhusu wabunge 19 ambao kimsingi si wabunge.

Walichofanya Chadema ndicho kinachowapa confidence wanachama wao. Hiki walichofanya Chadema ndicho ambacho mihimili yetu kwa miaka Sasa haikifanyi na hivyo kuwafanya wananchi wapoteze confidence na maamuzi ya taasisi za umma.

Maamuzi ya umma yamekuwa na matobo mengi hadi unajiuliza huko serikalini Kuna wasomi? Kibaya zaidi huoni maslahi ya nchi unaona maslahi ya watu binafsi....

I wish to see government functioning as Chadema....waiting

Nchi ikifikia kufanya maamuzi na matendo yanayokosolewa na ngazi ndogo za waelewa inabidu ijitafakari.......
ACHENI KUWEWESEKA SASSAA. MBONA MUNAHANGAIKA JUUU YA HAWA AKINA MAMA?? SI MUMESHA WATIMUA? TULIENI NAO WATUELEZE TAKATAKA ZENU.
 
Serikali ya CCM ina mengi ya kujifunza kutoka CHADEMA.
Tayari tumewafundisha sifa za kitambulisho, au bado hamjaelewa turudie tena?
Wafundisheni na namna yakua na raisi wa kudumu kama mwamba alivyo m/kiti wa kidumu.
 
Back
Top Bottom