Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala
Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana kiasi kwamba wakazi wengi wanachoshwa sana na hilo tatizo
Alinieleza umeme unakatika hata mara 10 kwa siku jambo lililonipa maswali mengi sana nikachukua hatua ya kutembelea eneo hilo
Nilikaa hapo kwa siku tatu kwasababu sikuamini mwanzo lakini niligundua ni kweli wala haikuwa uwongo
Umeme pale unakatika sana unaweza kufikia hata mara 10 kama alivyosema, unaweza kukatika na kurudi baada ya nusu saa, dakika 10, tano au hata masaa
Tungependa kufahamu ni ipi sababu kubwa ya tatizo hilo kwasababu wakazi wengi wa hapo hawajui chanzo cha tatizo