iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 440
- 1,086
Mimi ni kidume mkomavu na niliekamilika, natafta mwanamke wa kuishi nae tutafte maisha ote mpaka tufanikiwe, awe tayar kuishi na mimi, kalibuni inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mdomo ulivyouweka na macho ulivyolegeza, filter ilivyokolea, hakuna mwanamke mtafutaji atakuelewa
Mimi ni kidume mkomavu na niliekamilika, natafta mwanamke wa kuishi nae tutafte maisha ote mpaka tufanikiwe, awe tayar kuishi na mimi, kalibuni inbox
Unataka kuhama kwa yule mwanamke wako uliyesema hana muonekano mzuri na anakulea?
Wewe hutafuti Mke unatafuta mdau wa maendeleo!!!
Yule nmeshamuacha kitambo, lakn bado ananitafta kinoma
Weka picha yako sasa wanawake wenye maendeleo waone kama wanaweza kwenda na wewe
Huo mdomo ulivyouweka na macho ulivyolegeza, filter ilivyokolea, hakuna mwanamke mtafutaji atakuelewa