Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Habari zenu wanajf, ningependa kufahamu mahali ambapo nitaweza kupata shamba kwa kununua ambalo linaweza kumudu kilimo cha matikiti maji au hata mboga za majani,karoti, bilinganya na hoho..Mimi naishi Dar..Nahitaji kujikwamua kimaisha.
Natanguliza shukrani zangu za dhati..
Natanguliza shukrani zangu za dhati..
