Kwa mfano nikiwa na iwezo wa kununua ekari 2 badala ya hizo 17 inawezekana? Tatizocuchumianaoatizo Ndo kwanza naanza kujiinua....Mkuu Nyam nimekuwa nikiuza shamba la ekari17 limezungukwa na mto kwa 70%. Pale kila kitu kinastawi kwa uzuri kabisa. Price yake ni milioni 8 tshs with slight negotiations strictly to a serious buyer.
Shamba lipo Turiani 300km from DSM.
Search humu ndani uzi wenye title "Shamba zuri linauzwa" na ukitaka kujiridhisha mandhari ya shamba, tembelea facebook kwa a/c ya tatee mukuru ujionee picha zake.
Karibu sana mkuu wangu.
Kwa mfano nikiwa na iwezo wa kununua ekari 2 badala ya hizo 17 inawezekana? Tatizocuchumianaoatizo Ndo kwanza naanza kujiinua....
pm me for a shamba which is in Dar and cheapHabari zenu wanajf, ningependa kufahamu mahali ambapo nitaweza kupata shamba kwa kununua ambalo linaweza kumudu kilimo cha matikiti maji au hata mboga za majani,karoti, bilinganya na hoho..Mimi naishi Dar..Nahitaji kujikwamua kimaisha.
Natanguliza shukrani zangu za dhati..