Natamani kupata watoto mapacha

Natamani kupata watoto mapacha

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.

asalaam.
 
Muombe Mungu kwa imani utapata

Mpige ile "Montevideo kickoff" Wazungu wanaenda wawiliwawili kwenye yai moja..atakoma😂😂😂😂
 
Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.

asalaam.
Kuna mto pacha upo Sumbawanga Dc alisema ukinywa maji yake unapata mapacha
 
Kama kuna siku utapata mapacha sababu ya Style ulokaa ,,,,

Nitatembea uchi kila palipo na wakazi wengi hapa Dar !!
sawa , n
lakini naomba mnisaidie tu, hali tete mke wangu mri unaenda, hii ni wiki ya pili namlia balance diet ili nikitoa goli moja limalize kila kitu, sasa staili ndio naomba mnipe, ile mishenari hapana
 
Nenda kule Katavi kuna Mto Mapacha.
Inaaminika ukinywa maji ya mto huo utapata mapacha.

Ulifunzwa staili 14 Unyagoni halafu una mke?
Nadhani sielewi

nimefunzwa staili 14 , mpaka sasa nimempiga staili 8 na tumebaki hiyo maana anaipenda sana, hiyo tunaitumia hata kwenye traffick jam, inaitwa "UKUNONZE"
 
Kuna muda maalum..na inatakiwa ukishamkojolea alale chali kwa muda fulani..anyway ni elimu hii ngoja niishi hapa..
 
kunywa konyagi na wife anywe K-VANT halafu baada ya miezi minne utaleta mrejesho, sorry kabla ya hapo gongeni mguu mmoja wa kondoo choma.
 
Kuna muda maalum..na inatakiwa ukishamkojolea alale chali kwa muda fulani..anyway ni elimu hii ngoja niishi hapa..
funguka utusaidie wengi, hili ni jukwaaa huru la kupata elimu mbalimbali
 
Nenda kule Katavi kuna Mto Mapacha.
Inaaminika ukinywa maji ya mto huo utapata mapacha.

Ulifunzwa staili 14 Unyagoni halafu una mke?
Nadhani sielewi
Mto Logonesi Upo Katavi Wilayani Tanganyika
Ukinywa Maji Tu
 
Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.

asalaam.
Chances za kuzaa mapacha kwa mwanamke huongezeka na umri. Endelea kujipinda kwa mkeo.
 
Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.

asalaam.
Mwambie wife ameze folic acid mwezi mzima Kisha mkandamizie utapata malacha.lakin lazma Kuna tatizo KAMA WEWE ULIPELEKWA UNYAGONI NA WIFE AKAPELEKWA JANDONI Mmhhhh!
 
Back
Top Bottom