Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.
asalaam.
Kuna mto pacha upo Sumbawanga Dc alisema ukinywa maji yake unapata mapachaWanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.
asalaam.
sawa , nKama kuna siku utapata mapacha sababu ya Style ulokaa ,,,,
Nitatembea uchi kila palipo na wakazi wengi hapa Dar !!
Nenda kule Katavi kuna Mto Mapacha.
Inaaminika ukinywa maji ya mto huo utapata mapacha.
Ulifunzwa staili 14 Unyagoni halafu una mke?
Nadhani sielewi
EndeleaKuna muda maalum..na inatakiwa ukishamkojolea alale chali kwa muda fulani..anyway ni elimu hii ngoja niishi hapa..
funguka utusaidie wengi, hili ni jukwaaa huru la kupata elimu mbalimbaliKuna muda maalum..na inatakiwa ukishamkojolea alale chali kwa muda fulani..anyway ni elimu hii ngoja niishi hapa..
Mto Logonesi Upo Katavi Wilayani TanganyikaNenda kule Katavi kuna Mto Mapacha.
Inaaminika ukinywa maji ya mto huo utapata mapacha.
Ulifunzwa staili 14 Unyagoni halafu una mke?
Nadhani sielewi
Hapoooo ndo penye Shida DUME LIMEPELEKWA UNYAGONI UWIIII!!!tatizo linaanzia kwenye kufunzwa unyagoni
Chances za kuzaa mapacha kwa mwanamke huongezeka na umri. Endelea kujipinda kwa mkeo.Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.
asalaam.
Mwambie wife ameze folic acid mwezi mzima Kisha mkandamizie utapata malacha.lakin lazma Kuna tatizo KAMA WEWE ULIPELEKWA UNYAGONI NA WIFE AKAPELEKWA JANDONI Mmhhhh!Wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa napenda kuwa na watoto mapacha kwakuwa mke wangu ana miaka 43 na nina wasiwasi nikienda staili ya mishenari atazaaa mtoto mmoja alafu anakaribia meno-pouse,.naombeni ushauri, katika staili 14 tulizofunzwa unyagoni, nitumie ipi, maana kweli huna nampiga staili zote 14 ila sijaambiwa ipi inaleta mapacha.
asalaam.