Natamani kupenda tena

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
 
Mbona nikijaga pm unanikaushia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…