Natamani kupenda tena

Hiyo ni mbaya kuliko heri kufa na kutu kuliko kwenda tu eti utajifunza kumpenda
Kujifunza kupenda ilikuaga zamani kwa wazazi wetu sababu walifundishwa hivyo. Tupendane kwanza huku uraiani ili tukiingia kifungoni iwe rahisi kuvumiliana.
 
Zingatia niliyokwambia, wengi wanaolea watoto bila baba zao si kuwa wanafuraha kama mnavyo waona au wanayotamka ila ni kwa kuwa yameshawatokea na hakuna namna!
Ni kweli mkuu
 
Im impressed kwa hili if its really running on your veins, nachukia mwanamke malaya. Chanzo kikubwa ni kutokuwa na msimamo wa kusema hapana ukiwa tayari na mahusiano mengine
Mkwe nakusabahi!
 
Kujifunza kupenda ilikuaga zamani kwa wazazi wetu sababu walifundishwa hivyo. Tupendane kwanza huku uraiani ili tukiingia kifungoni iwe rahisi kuvumiliana.
Nimeolewa kwenye ndoa ya kujifunza kupenda nayajua mateso yake, usijaribu, nenda polepole utapata hitaji lako mama, all the best
 
Hakuna binadamu asie na mapungufu ndio maana kwako waweza ona ni zito halivumiliki ila kwa mwenzio sawa tu.
 
Natamani ila..Venye kupenda maradhi ya moyo...ntampenda nani
Hahaahhaa.... utapenda tena tuu.. nilivyoachana na bf wangu wa kwanza sikujua kama ningekuja kupenda tena, ila nilipenda na nikamsahau kabisa, huyu wa pili nae maisha hayakua fair kwetu naangalia wa kumpenda tena maana najua ntampata tatizo ni lini.
 
Huko ndio kujilipua sasa..
Hapana sio kujilipua mtu akikupenda jipe muda wa kumchunguza je ataendana na wewe kama ataendana na wewe ndio ukubali kupendwa na sio kila unaempenda wewe atakuwa ndio mwenyewe hizo nazo ni bahati nasibu

Na mara nyingi yule usiempenda wewe ndio anakuwa mwenyewe kabisa
 
Hahaahhaa.... utapenda tena tuu.. nilivyoachana na bf wangu wa kwanza sikujua kama ningekuja kupenda tena, ila nilipenda na nikamsahau kabisa, huyu wa pili nae maisha hayakua fair kwetu naangalia wa kumpenda tena maana najua ntampata tatizo ni lini.
Time will tell... I like that spirit...saa zingine naona mara mia girls wa ughaibuni..maana sio pasua vichwa sana [emoji23]
 
Kujifunza kupenda ilikuaga zamani kwa wazazi wetu sababu walifundishwa hivyo. Tupendane kwanza huku uraiani ili tukiingia kifungoni iwe rahisi kuvumiliana.
Hujawahi kuona watu ni wachumba tu au wakati mwingine hata uchumba hawajafikia ila wanapendana sana na kila mmoja anajua tabia za mwenzake
Huyu ni mchepukaji sana halafu unasema utaingia kwenye ndoa ataacha
Hii sio kweli ataendekeza tu hata akiwa kwenye ndoa huko
Ndio maana nimesema ukipendwa mchunguze ukiona tabia zake zitaendana na wewe unavyotaka mpende pia usisubiri upende kwa sababu utakaempenda anaweza asikupende pia akakutumia tu na baadae akakubwaga ukabaki unalia tu
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Umesema hakuna aliokuvutia katika pitapita zako. Bila shaka kila mtu kuna kitu kinachomvutia. Sasa mwenzako anavutiwa na chura hio, na wengine wanavutiwa na uzuri. Hebu weka picha watu wakuone basi atakaevutiwa atajitokeza kama vile wewe ulivokuwa hujavutiwa unawapotezea basi na hapa watakupotezea.
 
Ndo maisha lakini mkuu..
 
Unataka nitekwe mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…