Natamani kurudiana na mzazi mwenzangu ila yeye hataki

Jikaze, they say TIME heals, utafika pahala utajiona mchiinga hata kumlilia, Ishi siku zote ukiamini hakuna aliye Bora zaidi Yako mwenyewe..!

Mlee mwanao kwa upendo wote, If it was meant to be itakuwa tu, na if not, then Learn to Move on mrembo.!
 
Kwa kweli we move on tu.. usilazimishe vitu ambavyo inawezekana huko mbele ukajuta.. hakuna hisia nzuri kama kujua unaempenda nae Yuko kwa ajili yako.. hao unaowakataa inawezekana mmoja wapo ndo kaumbwa kwa ajili yako.. usijinyime nafasi ya kupata furaha, siku hazisimami na maisha ni mafupi hebu jionee huruma kidogo
 
Nenda kwa bishop Masanja Mkandamizaji akufanyie maombezi upate amani tele utulie ndani ya Yesu na uta move on kisawasawa
 
Mwanakulifind mwanakuliget songa mbele
 
Jipe muda ndugu yangu..nilikuwa kama wewe miaka kadhaa iliyopita ulimpenda sana huyo masta.

Hakuna kitu kizuri kama kujipa muda aise usilazimishe mambo.nafahamu ni ngumu sana..jitahidi utaweza tu.

Mapenzi ni ya kikuda snaa.unaempenda hakupendi,usiyempenda anakusumbua mpka unahisi unataka kunyakuliwa hewa ya oksijeni ukufwe.
 
Kama moyo wako unaamini niwako usiogope anaweza kurudi tu ila uwenauhakika haukuwa nakero sana
 
Daah ningekuwa mkubwa ningekuchukuwa na usingemkumbuka huyo baba watoto wako
 
Ninachokiona hapo soon utapigwa mimba ya pili ili uwe certified single maza ,wanaume tunapenda kulalia wanawake dhaifu kwetu Kama wewe
 
Pole mama, inaumiza hasa kama mna mtoto ...Omba Mungu tu tafuta mtu wa kuongeanae ,kama unahitaji kulia lia hasaaa usiogope, hizo nyakati zitapita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…