Sonia G JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 3,071 Reaction score 3,909 Sep 19, 2021 #21 Pole ipo siku utachoka
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Sep 19, 2021 #22 Ma BOBO said: Nipo chuo Nina mpango wa kufanya biashara lakini biashara hii nahitaji chumba, kwa wiki natumiwa tsh elfu 40, nipo mkoa mgumu katika kupata mahitaji nikimaanisha vitu bei ghali. Click to expand... Kwanza ulishamaliza chuo?? Na mtoto tayari ushapata. Jf uongo uongo mwingi sana, mtu anajitutumua kufariji au kutoa ushauri kumbe mtu kaamua tu kuweka uzi aone reply na likes za watu tu.
Ma BOBO said: Nipo chuo Nina mpango wa kufanya biashara lakini biashara hii nahitaji chumba, kwa wiki natumiwa tsh elfu 40, nipo mkoa mgumu katika kupata mahitaji nikimaanisha vitu bei ghali. Click to expand... Kwanza ulishamaliza chuo?? Na mtoto tayari ushapata. Jf uongo uongo mwingi sana, mtu anajitutumua kufariji au kutoa ushauri kumbe mtu kaamua tu kuweka uzi aone reply na likes za watu tu.