Natamani kusikia CHADEMA imefutwa nchini

Sawa chawa ndo unafikir mamaduro atakua na amani mkifuta? Damu hii itamlilia hadi anazikwa whether chadema imefutwa au haijafutwa! Hamna shortcut
 
Mkuu upo sahihi ila kwa dunia tuliyopo kuifuta CHADEMA italeta shida zaidi. Kidiplomasia haiko sawa. Mfumo wa demokrasia wa mabeberu unatubana. Ni bora kuendelea kuwadhibiti kijanja ili tusije kuharibu uchumi wa nchi.
 
Ataanza kufutika mamako, kenge maji. Muulize Magu alijiapiza nn na nn kimetokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…