Natamani kusoma lakini...

Natamani kusoma lakini...

lauzi96

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2014
Posts
422
Reaction score
797
Me nikijana elimu yangu diploma hila nimefanikiwa kupata kazi hila hiyo kazi nnatoka muda mbaya sana siku umetoka mapema saa 4 usiku,tatizo linakuja nnataka kujiendeleza kielimu kwa course ambazo muda mwingi haupo darasani hila me nna option mbili kwanza nisome open au nitafute mwalimu awe ananifundisha private kisha nifanye paper za board nbmm au nbaa,
 
Back
Top Bottom