Natamani kusomea Information Technology

Unasoma vizur sana anzia hatua diploma ndo uende degree utakuwa bora sana tena ukitulia vizur zipo course nying za Computer

Mfano hapo ngumu kwako mpaka hapo ni Computer engineering
Ila computer science unapiga pia
 
Wengi humu wanakariri Maisha F ya math sio kitu Mimi Nina F ya math form six na nipo mwaka wa tatu bachelor ya computer science hapa IAA
 
Lakini kama hujui hesabu masomo ya IT huyoboi asee asikudanganye mtu IT ni logic make unasoma circuit na programming
waache wadanganyane hao inaonesha hata masomo ya IT hawayajui
 
vyuo vya michongo hivyo inaonesha ndio ulipopitia huko kwenye michongo na rushwa
 
atasomaje diploma miaka 2 wakati katokea form 4 lazima aanze level 4 ambayo ni certificate mpaka amalize diploma ni miaka 3
 
Wengi humu wanakariri Maisha F ya math sio kitu Mimi Nina F ya math form six na nipo mwaka wa tatu bachelor ya computer science hapa IAA
Aisee msalimie sana Yusuph Liechuka na Bakari Ally, watoto wa Old hostel na New hostel, Michael muuza chakula waambie kijana wa white house anawasalimia sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
unaongea nini wew kwahyo mtu mwenye F ya math akasome IT. labda mchukue kwenye chuo chako
We jamaa bwana. Unanikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa best student chuo fulani yeye Advance kasoma masomo ya arts na chuo akaenda kusoma Accounting akafaulu kuwazidi waliosoma Commerce na Economics na wala hakuyasoma masomo hayo O level. Alafu akafaulu field ya CRDB, na uko field akafanya maajabu akapewa zawadi. Baada ya chuo tu CRDB hao wakachukua mtu wao.

Katafute IT gurus mjini uone wangapi wana A or B za hesabu, wengine vilaza waliitwa. Uzuri wa IT hata kama sina cheti cha O level ila nina cha Huawei au Ericsson online course napata kazi nikiprove practically naiweza.
 
siku hizi elimu imekuwa rahisi sana sio kama enzi zetu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kuna IT ya kusolve solve. Hiyo kama Math hukuwa vyema kutoboa ni ngumu.

Kuna IT ya kufundishwa mambo ya IT moja KWA moja ,kwamba ukibonyeza hapa inakuwa hivi,pale inakuwa hivi. IT hii hata kama ulifeli shule wawezakuwa mtaalam. Ni kama jinsi ya kutumia simu kuna Watu ni watundu ile mbaya kwenye simu. Ila hesabu walifeli.
 
umeiweka vyema sana. nadhan wameelewa
 
Ilo linawezekan kote duniani hata wakisema hkl asome medicine mbona anasoma na nakuwa vyema tu sema shida ni mifumo ya nchi wew unaamini cbg au cbn hawez kusomea udakitar tz lakin ughaibuni anasoma fresh .....hujiuliz why cbn apate one ya 6 BBB lakin pcb ana CCD anachukua medicine sasa kati ya huyo mwenye sita na huyo mweny kumi nani ana uwezo mkubwa jibu ni huyo mwenye 6 lakin sera mbovu za kijinga na kipimbavu zimefany vijan weng kuishia sehem isiyo sahihi
Kingin wanafany hivyo kupunguz ushindani tu sio kwamba hataweza maisha ya mwanadam kama umesoma biology kuna theory za evaluation kwenye natural selection ko hakuna asieweza ikiwa mazingira yatakuchagua kufany icho kitu utawez tu ingawa unaweza usiwe na ile kasi kubwa ya ku adapt ila muda unavyoenda utaweza kuendana na mazingira ya icho kitu unachokifany
 
labda tuwaulize madaktari somo gani linahitaji Hesabu na Physics huko vyuoni?
 
labda tuwaulize madaktari somo gani linahitaji Hesabu na Physics huko vyuoni?
Yapo masom sub course lakin huwez niambie mtu mweny huo ufaulu akashindwa hesabu za kitot kama zile easy sana broo sema hapa serikal imetupiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…