Natamani kusomea Information Technology

siku hizi elimu imekuwa rahisi sana sio kama enzi zetu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama elimu imekuwa rahisi tungeona nyie mliosoma elimu ya zamani mnaleta tija badala yake mpo kama sisi, elimu yenu mnayoita ngumu haina mchango wa tofauti kwa taifa.

Kusoma kwingi hakuzidi talent, skills na dedication. Bill Gates ni college dropout kama elimu ni muhimu basi waliohitimu chuo na kupata PhD uko wangefanya makubwa zaidi yake ila hawakujaaliwa hivyo.
 
F ya math hao wanajiita mainjinia lakini sio mainjinia at all
 
Nina miaka 26 Nimemaliza kidato cha nne 2016 na matokea n ina C flat 5 na D ya history na chemistry na F ya fizikia n hesabu ndoto yangu ni kuwa n bachelor ya it nifanyaje wakuu
Njoo University of Dar es salaam Computing Centre (UCC) utapata msaada.
 
Kama umepata nafasi kasome mkuu mambo mengine watakukatisha tamaa bure ndio hivyo.
 
Yapo masom sub course lakin huwez niambie mtu mweny huo ufaulu akashindwa hesabu za kitot kama zile easy sana broo sema hapa serikal imetupiga
Hakuna hesabu na Physics medical school, wanaobisha watueleze ni somo gani lina hesabu hizo wanazotaka mtu awe amefaulu.
Nchi nyingi ziliisha achana na haya mambo ya combination.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…