Natamani Kuwa FATAKI!

Jamani nimeona hawa jamaa wanafaidi sana! Sijui hii fani ya ufataki inasomewa wapi nipeleke applications walau nitumiwe application form ili niweze peleka bodi ya mikopo.

Ushauri wapwaz



eeeh mkuu naona mambo yamekunyookea kifedha umeshanza kuwakumbuka wanafunzi eeeh
Lakini kumbuka mafataki ni ngumu sana kufanikiwa malengo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…