neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Naomba huu mchongo!! NduguAnza kuimba mapambio, utaletewa kadi ya chama na posho za 7500 kila siku.
Mwenzako Lucas Mwashambwa amejenga Mbalizi huko kwa pesa za mapambio
1. Anza tabia za uzulumati,Habari wakuu!
Kutokana na kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama tawala natamani kuwa mwanachama kamili mwenye kadi na hatimae niwe kiongozi ndani ya chama. Sijui nianzie wapi, sina connection yoyote, naomba mwenye connection please!
Anza na kuweka mada za kusifia ccm hata wanapofanya ubayaNaomba huu mchongo!! Ndugu
Anzia kwenye mtaa wako, kachukuwe kadi anza kujishughulisha na kazi za chama hapo hapo, jichanganye, yatajipa.Habari wakuu!
Kutokana na kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama tawala natamani kuwa mwanachama kamili mwenye kadi na hatimae niwe kiongozi ndani ya chama. Sijui nianzie wapi, sina connection yoyote, naomba mwenye connection please!
Je, unayo 'matunguli ya uchawi' ya kutosha ya kukuwezesha kujibu mapigo wakati utakapojaribiwa?????Habari wakuu!
Kutokana na kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama tawala natamani kuwa mwanachama kamili mwenye kadi na hatimae niwe kiongozi ndani ya chama. Sijui nianzie wapi, sina connection yoyote, naomba mwenye connection please!
Kwa nini kama chama wasimtafute?Anzia kwenye mtaa wako, kachukuwe kadi anza kujishughulisha na kazi za chama hapo hapo, jichanganye, yatajipa.
Uwe na uwezo wa kuahirisha kufikiri kwa nafsi a k. a kujizima dataHabari wakuu!
Kutokana na kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama tawala natamani kuwa mwanachama kamili mwenye kadi na hatimae niwe kiongozi ndani ya chama. Sijui nianzie wapi, sina connection yoyote, naomba mwenye connection please!
Yeye anataka kupiga honi😀 wenzio huwa wanaanzia na chipukizi
Kwa hiyo nawe umekwishaibeba roho ya shetani, unataka maelekezo ya namna ya kupokelewa na mashetani wenzako?Habari wakuu!