Natamani kuwa na michepuko kama wanaume wenzangu ila Hali hairuhusu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mwanamke mmoja tu yenyewe lakini Ni Kama vile anataka kunishinda.tatizo kubwa lipo mfukoni sina kitu sina hela,nina wallet tu nimeijaza makaratasi ukiifungua hakuna kitu.

kwa mfano sasa hivi hapa nilipo huwezi kuamini Nina 1200 tu ndo nayomiliki nadhani mmenielewa.nyakati nyingine ni kweli wanaume wenzangu mpo sahihi mnaposhauri kuwa na mwanamke mmoja ni kujipalilia ma pressure kwa hiyo angalau uwe na wa pembeni mpango wa kando.

Tatizo nawaza nitampa nini huyu wa pembeni maana kwa hali ya sasa ukisema tu uspend 30000 na demu ukaimaliza yote kuja kuipata 30000 nyingine ni mtihani shekhe!tusio na pesa sijui tunaonekanaje mbele ya wadada na kwa inavyooenekana hela zitaanza kuonekana awamu ya pili ya Magufuli 2020 huko ndo Mambo yatakaa sawa.kwa kweli niwape pongezi wanaume wote wenye michepuko nyie ndo wanaume Bhana wanaume wa shoka mnaojiweza mnatuwakilisha vema.endeleeni kutusukumia siku na mademu zetu Ila msiwagonge Sana sisi huku roho zinauma.
 
Kuwa na mchepuko ni hulka tu ,haijalishi unajiweza au hujiwezi kiuchumi,wapo wanaume wana hela zao lakini hawana time na michepuko,na pia wapo makapuku lakini viwembe hatari sana.
 
Kuwa na mchepuko ni hulka tu ,haijalishi unajiweza au hujiwezi kiuchumi,wapo wanaume wana hela zao lakini hawana time na michepuko,na pia wapo makapuku lakini viwembe hatari sana.
Sasa Mimi Ni kapuku by professional lakini nimefeli SI unajua Tena Hawa wanawake wetu wa dar.bila hela utawasikia tu kwenye paa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…