Natamani kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!

Hii ni moja ya ndoto zangu tokea enzi na enzi,nina imani siku ni kiwa rais wa nchi itakuwa ndio mwanzo na neema kubwa ya kila mwananchi maisha yake kuwa bora na umaskini itakuwa ni historia.

Nasema hivyo kwasababu uwezo huo ninao,nitakuwa rais ambaye watanzania watatamani aongoze milele.

Mimi sina maneno mengi najua nitanyoosha kona gani na kona gani maendeleo yatamalaki.

Naamini nitakuwa rais mwenye uwezo mkubwa hata kabla ya kuwepo kwa misingi ya ulimwengu na uwepo wa Tanzania.
 
Kama Mwendazake aliweza wewe utashindwaje sasa
 
Back
Top Bottom