Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
ÉeeeeeeeeéUtashitakiwa MIGA
NikweliBado hujachelewa...
Kama Mwendazake aliweza wewe utashindwaje sasaHapo vip!
Hii ni moja ya ndoto zangu tokea enzi na enzi,nina imani siku ni kiwa rais wa nchi itakuwa ndio mwanzo na neema kubwa ya kila mwananchi maisha yake kuwa bora na umaskini itakuwa ni historia.
Nasema hivyo kwasababu uwezo huo ninao,nitakuwa rais ambaye watanzania watatamani aongoze milele.
Mimi sina maneno mengi najua nitanyoosha kona gani na kona gani maendeleo yatamalaki.
Naamini nitakuwa rais mwenye uwezo mkubwa hata kabla ya kuwepo kwa misingi ya ulimwengu na uwepo wa Tanzania.
Ni mpango wa Mungu kwa hiyo itakuja kuwa hivyo.ushamwambia bi tozo?
Mungu ndio anajua kinachonistahili na sio mwanadamu.We endelea kuota , fanya kinachokustahili