Wanataka wanaojihusisha na nini?Zanzibar wataomboleza. Zanzibar hawataki wadhamini wanaojihusisha na pombe na kamari
Maji na JuiceWanataka wanaojihusisha na nini?
Yakhee usiseme hivooSi tulishakubaliana kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika?
Zenji Ni nchi huru mkuu. Mazuzu tumebaki sisi Wadanganyika.Habari zenu wanajukwaa pendwa la michezo JF,
Katika kipindi hiking ambacho team ya taifa ipo kambini kujiaandaa na mechi za kufuzu kombe la dunia nimepata wazo kama timu ya taifa inajumuisha wachezaji kutoka Tanganyika Na Zanzibar Kwa nini kusiwe Na ligi moja ya Tanzania?
Natamani kitokee Kwa kuwa kitakuwa na maslahi ya kusogeza soka letu Na kupunguza manung'uniko kutoka upande mmoja na Nina imani itakuwa ligi Bora
Ahsante.