Natamani sana kupata watoto mapacha ila kwenye familia yangu na ya mume wangu hamna mapacha..But nlisikia uwezekano wa kupata upo..Plz nijuzeni kuhusu hilo.
Huwezi kupanga kupata mapacha lakini uwezekano huongezeka kama kwenye ukoo hasa kama mama yako au nyanya yako upande wa mama alishazaa mapacha na zaidi wale wasiofanana (fraternal twins) unaweza kuwa umerithi gene ya kupevusha mayai kwa wingi (hyperovulation gene).
Dawa za kupevusha mayai (clomiphene) huongeza pia uwezekano wa kupata mapacha kwani zinaweza kusababisha upevushaji wa zaidi ya yai moja.
Wengine wanasema uzito mkubwa pia huongeza chance ya kupata mapacha. Pia kuzaa ukiwa na umri mkubwa (kama 45) huongeza uwezekano.
subiri usizae mapema..hadi ukaribie umri mkubwa posibility inakuwa kubwa ya kuzaa mapacha...Pia waweza kutumia feltilization Pills ie Clomephene Citrate,kwani hufacilitate zoezi la upevushaji tho sometimes unaweza kujikuta watotoa hata nane..so ukinywa ujiandae kwa yote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.