mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wacha me nichanje mbuga tu.Kifupi ni kuamua mawili kuchanja mbuga[emoji2099][emoji2099] Au kuchanja chanjo[emoji382][emoji382]
Mkuu nisibiri nifate kibegi changu tuchanje mbugaππΏββοΈππΏββοΈWacha me nichanje mbuga tu.
Niko fasta, nahofia kukamatwa na kuchanjwa chanjo kilazima.Mkuu nisibiri nifate kibegi changu tuchanje mbuga[emoji2099][emoji2099]
Naelekea burundi kufidia na makatoNiko fasta, nahofia kukamatwa na kuchanjwa chanjo kilazima.
Kama vipi tukutane stand.