Natamani Misiba ya Wahaya iwe mingi kwani inatusaidia sana Kuimarisha Afya zetu kwa Vyakula na Kuoka Bajeti zetu za Kimaisha

Naunga mkono hoja. Mi nataka wapare wadedi kwa wingi ili tubadilishe menu kwa kufakamia makande kwa wingi huku tukijifunza kubana matumizi kwa kugonga ugali kwa picha ya samaki perege.

Cc Mshana Jr , NAKWEDE
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³
 
Baba uko sahihi mimi ni muha najua nyie n watani zetu kabisaaaa.
Mwambie huyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kwa kumuelimisha huyo mjomba,sujui kabila gani huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…