natamani mume wangu anywe pombe

nyinyi wajukuu zangu hasa wewe smile si juzi tu mmekuja kwa bibi yenu na ka ugomvi kenu eti mmeo huwa anakuaga anakwenda kwa bishanga atachelewa kurudi sababu usafiri wa huko kwao ni tabu ukajaa sumu eti anachelewaga sana, mjukuu si umeolewa wewe? hebu njoo mama yako mkubwa anakuita akuonye na katabia kako ka kupenda kuolewaolewa, njoo haraka?:lock1::A S 13:
 
Ulevi wa misifa huu. Kama huna cha kupost wandugu si ukae kimya! Kwani kuna ulazima wa kupost thread ambazo hazina kichwa wala miguu?

Samahani, ni mtazamo

tu.
Yan wewe ndio umepost pumba za hatari...yan ***** halafu nahisi kuna nyaya haziko sawa kichwani...
think twice before writing your comments.....
 
nyinyi wajukuu zangu hasa wewe smile si juzi tu mmekuja kwa bibi yenu na ka ugomvi kenu eti mmeo huwa anakuaga anakwenda kwa bishanga atachelewa kurudi sababu usafiri wa huko kwao ni tabu ukajaa sumu eti anachelewaga sana, mjukuu si umeolewa wewe? hebu njoo mama yako mkubwa anakuita akuonye na katabia kako ka kupenda kuolewaolewa, njoo haraka?:lock1::A S 13:
 
Nikipata wife kama wewe full kula batraa na washkaji bila gubu!!
 
Nilikuwa najiuliza ntapata wapi wife wa kuweza kuimudu tabia zangu hizi kumbe wamo humu mama naomba nikuoe baada ya kwaresma
 
Umempata
 
Smile hajajua kwamba anaweza kuja juta kwa mumewe kuwa mtu wa kinywaji

Badala ya kuomba Mungu ampe mume MCHA MUNGU yeye anatamani wanywaji

Ngoja aendelee kum beep Mungu, Akimpigia ndio atajua alikua anomba kitu cha aina gani
 
Mi nakushanga sana kwa sababu kuna wanawake kama wewe ambao wamechoshwa na tabia za waume zao kurudi usiku wa manane nao walianza kidogokidogo tu....ni vizuri jamaa awe mcha Mungu, aongee na watu ila siyo lazima aipige mitungi ndo awe na maujanja ya kimaisha...ushansoma...
 
Nimesoma Post yako Madam na nime note something like unapenda yale mambo ambayo binadamu wengine (Ordinary People) wamekua wakitamani kuyabadilisha bila mafanikio, Napatwa na wasiwasi mayb baada ya kufanikiwa kupata hayo utaweza kuja tena hapa na kulalama "NATAMAN MWANAUME ANAYEKULA JICHO KILA SIKU NJIA ILE ILE ME INANCHOSHA...TAKE one... aCTION
 
ili nawewe umhudumie msela wako fastafasta au.......ngoma iwe dro......take care....tulia na mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…