natamani mume wangu anywe pombe

wewe hujasikia ya mtume na nanii na baba

Wa mwenge?Hiyo sina uhakika.Who am I to judge other people by just stories bila uhakika wangu mwenyewe?Isitoshe bible iliweka wazi kuwa siku za mwisho kutakuwa na manabiii wa uongo..Lakn hili halizuii uwepo wa manabii wa ukweli.Hivo mie bora niwe na mume Nabii kuliko mume mlevi...
 

Ndio sasa hivi naamini kuwa mwanamke hajui anachotafuta.

Sio kweli,JEZEBEL is always one.
She is jezebel na in no way anawakilisha wanawake wenye akili timamu.
Lakini jezebel ana wafuasi,utawaona kwenye hii hii thread.
 
bora hata wewe umeweza sema lahaula
mie huu mpambano nimeuona tangu mwanzo
nikawa nashindwa hata niingilie wapi.

haya basi ingilia hapa hapa upenuni, mie ntafuata
 
Wewe upo kivulini. Unatamani ukakae juani?
 

Wow...
 
ukiwahi tabu tukichelewa shida
tukinywa nongwa tusipokunywa akina smile tunawakosa
mh
bado niponipo kwanza!!
 
kwa unachokitamani ni lazima utakuwa
na wake wenzako zaidi ya wanne.
 

Natamani Mke wangu awe Smile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…