Wakuu natafuta nyumba ndogo, yenye mvuto
Sifa:
1. Iwe tayari kutunza siri SANA SANA
2. Iwe tayari kuhamwa ikipata mpangaji wa kudumu, mimi nitakuwa tayari kuhama kwa hiari
3. Iwe na mapenzi motomoto
Mengine tutaongea tukikutana. Ila mimi niko above 40, married with a daughter and a son. Unajua inapopatikana ni PM basi. THANKS
Ipo ila sijui urefu wenyewe ni wa kiwango gani?Una hela ndefuuu???
urefu ni urefu tu..acha nikupmIpo ila sijui urefu wenye ni wa kiwango gani?
What do yo mean on red, anyway I am satisfied that am smart and handsome, don't worry babyNa wewe uko tayari kuwa nyumba ndogo?..are you smart?(upstairs,sideways etc)..are you handsome?..