Sijaelewa xxxx tupu unamaanisha nini?Ebwana wanaJF Mzuka!
Lile zal la Uli nami nataman nilipate niuage umaskin au hali ngum ya maisha. Tatizo zal kama lile linategemea pia bahat kwasabab kibano cha haja kama kile na dental formula kuwa tempered dah inabid ufikirie Mara mbil mbil.
Ila Mwakingwe sasa hiv anafurahia mabilion kiulain. Nazan hata maumiv na post trauma hana tena. Mimi sasa pia nataman zal kama hil liniangukie bora nisife Tu na gegedo wasilizuru.
ndio wapi hukoHuyo Uli ndio nani na Mwakingwe wengine tumebaki njia pabda
Mkuu kama nimekuelewa vile!Ebwana wanaJF Mzuka!
Lile zal la Uli nami nataman nilipate niuage umaskin au hali ngum ya maisha. Tatizo zal kama lile linategemea pia bahat kwasabab kibano cha haja kama kile na dental formula kuwa tempered dah inabid ufikirie Mara mbil mbil.
Ila Mwakingwe sasa hiv anafurahia mabilion kiulain. Nazan hata maumiv na post trauma hana tena. Mimi sasa pia nataman zal kama hil liniangukie bora nisife Tu na gegedo wasilizuru.
nimejaribu kutafakari na serikali yangu ya UBONGO sijaelewa alikuwa ana maana gani....kumbe wengi hatujamuelewaHata kuandika kwenyewe matatizo.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mleta mada umemuelewa kirahisi sana...Alimaanisha kuwa kilichomkuta Dr ulimboka naye kimkute. Akidhani huko alipo kwa sasa atakuwa na maisha madhiri either alilipwa pesa mingi au lah. Ila anaamini atakuwa alilipwa, so anatamani na yeye yamkute ili alipwe.
Ila hii ni akili ya kimaskini kabisa
Hahahaaaa ndio na yeye atamani kuvunjwa taya?Mleta mada umemuelewa kirahisi sana...
Hakuwa na maana hiyo bali muktadha wake ni kutaka kuhoji kivipi mtendewa kakaa kimya hivyo licha madhila yaliyompata i.e kung'olewa kucha, meno na pengine inasemekana walimvuja "kitendea kazi kikuu" ndo anahoji: je, alipewa umatemate kuzibwa mdomo ama?!
Mkuu wewe mjanja sana, anzisha maandamano ya vijana wa JKT waliokosa ajira, watakupeleka mabwepandeEbwana wanaJF Mzuka!
Lile zal la Uli nami nataman nilipate niuage umaskin au hali ngum ya maisha. Tatizo zal kama lile linategemea pia bahat kwasabab kibano cha haja kama kile na dental formula kuwa tempered dah inabid ufikirie Mara mbil mbil.
Ila Mwakingwe sasa hiv anafurahia mabilion kiulain. Nazan hata maumiv na post trauma hana tena. Mimi sasa pia nataman zal kama hil liniangukie bora nisife Tu na gegedo wasilizuru.
Anatamani zali limuangukie?Ebwana wanaJF Mzuka!
Lile zal la Uli nami nataman nilipate niuage umaskin au hali ngum ya maisha. Tatizo zal kama lile linategemea pia bahat kwasabab kibano cha haja kama kile na dental formula kuwa tempered dah inabid ufikirie Mara mbil mbil.
Ila Mwakingwe sasa hiv anafurahia mabilion kiulain. Nazan hata maumiv na post trauma hana tena. Mimi sasa pia nataman zal kama hil liniangukie bora nisife Tu na gegedo wasilizuru.
Mkuu huu mkasa hauwezi kuuweka katika matamanio na si jambo la kuombea likukute kwani hata Uli mwenyewe hawakukaa meza moja na watesi wake kunegotiate kichapo-madhila-compansetion...Hahahaaaa ndio na yeye atamani kuvunjwa taya?
Jf imevamiwa mkuuTozi25 wetu uwe ukimya tu maana hawa vijana sijui vipi ya illahi