Natamani na Misafara ya Marais wetu nayo iwe ni midogo kama niliyomwona nayo leo CDF Gen. Mabeyo akielekea Kwake Kawe Beach

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa.

Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga Sanga ambao baadhi yao tuliwashuhudia Juzi Uwanja wa Uhuru Siku ya Uhuru wa Miaka 60 ya Tanganyika na kwamba Adui yoyote akiamua Kuuingilia kitakachompata atasimulia hata kwa Wajukuu, Watukuu wake na ikiwezekana hata Vilembwe.
 
Unashangaa hiyo.
Angalia msafara wa aliyewahi kuwa PM wa UK.no mbwembwe kabisa.

Screenshot_20211213-052842_Opera Mini.jpg
 
General Mwamunyange ilikuwa gari 2 tu
Mbele landrover yenye MPs inapiga kingora cha mojakwamoja kama gari za zimamoto halafu anafuata yeye.
Hakua nambo mengi yule mwamba hapo anakwenda au anatoka nyumbani kwake mbezibeach
Huyu mabeyo mchumba CDF msafara gari 5? Kwenda nyumbani huko ni kuwapotezea muda hao makoplo wanaomlinda only one swipper car is enough
 
Hicho kitu haiwezekani kwa dunia ya tatu mjomba

Ukiongelea nchi ya Uingereza Uingereza ni taifa la kwanza duniani linaloongoza katika weledi wa ujasusi na linaongoza pia katika maendeleo ya kimifumo na ustaarabu dunia hii na pia ni taifa lenye nguvu kubwa sana kijeshi duniani kama tutataja mataifa matano yenye nguvu zaidi duniani kivita Uingereza ni mojawapo ya mataifa hayo so taifa litalomuua 'its a death wish for them'

Nchi zetu sababu ya kutokuwa na nguvu kijeshi viongozi wake huwindwa na mataifa makubwa in short kufupisha katika taaluma kuna msemo wa taaluma ya International relations unasema "there is no friendship among states" mataifa yetu ni maadui hivyo wakuu wa nchi yetu watauwawa kama hawatapewa ulinzi na na watauwawa na serikali za mataifa mengine
 
😄😄😄 Yaani viongozi wakubwa wa dunia wakuwinde then unadhani utawazuia kwa kua na msafara mkubwa wa magari na helicopter?Gari zenyewe hizo zenye bulletproof zinakua customized kutoka huko kwao, trainings za walinzi wa hao viongozi Ni huko huko nje.Aisee wakubwa wakimtaka kiongozi yoyote yule hawamkosi.

Nimekumbuka kitu lkn hakihusiana na hayo maelezo yangu hapo juu,M7 mwaka 2005 alienda Kigali kwny mkutano wa COMESA na akawa na convoy ya Gari 18, Rwanda wakamkomalia Kwamba huo msafara Ni mkubwa Sana wakaruhusu kuingia gari 6 tu, nyingine zote zikazuiwa boda zikaambiwa zirudi Uganda.

Walinuniana kichizi baada ya hilo tukio 😄😄😄
 
Hicho kitu haiwezekani kwa dunia ya tatu mjomba

Ukiongelea nchi ya Uingereza Uingereza ni taifa la kwanza duniani linaloongoza katika weledi wa ujasusi na linaongoza pia katika maendeleo ya kimifumo na ustaarabu dunia hii na pia ni taifa lenye nguvu kubwa sana kijeshi duniani kama tutataja mataifa matano yenye nguvu zaidi duniani kivita Uingereza ni mojawapo ya mataifa hayo so taifa litalomuua 'its a death wish for them'

Nchi zetu sababu ya kutokuwa na nguvu kijeshi viongozi wake huwindwa na mataifa makubwa in short kufupisha katika taaluma kuna msemo wa taaluma ya International relations unasema "there is no friendship among states" mataifa yetu ni maadui hivyo wakuu wa nchi yetu watauwawa kama hawatapewa ulinzi na na watauwawa na serikali za mataifa mengine
upo sahihi kiasi fulani,jana usiku nimesoma mahali wanadai ya kwamba lile tukio la israel kuivamia uganda taarifa zili leak mapema, balozi wa Uganda aliwasikia wanajeshi wa Kenya wakiropoka kwamba israel inakuja kuivamia Uganda
balozi akampelekea taarifa hii Maliyamungu ambaye alihusika na usalama ila akaiita ni taka taka,matokeo yake usiku uvamizi ukatokea. hivo basi nchi za dunia ya tatu bado zipo nyuma kwenye intelijensia
 
Kweli maisha yanakwenda kasi mno,generation yangu ni Rais,Makamu wake na SG wa chama dola na PM pekee ndio walikua na misafara tena less than 3 cars!leo hadi sirro naye ana msafara!mlinda usalama wetu naye ni mwoga!
 
Back
Top Bottom