MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
πππ Yaani viongozi wakubwa wa dunia wakuwinde then unadhani utawazuia kwa kua na msafara mkubwa wa magari na helicopter?Gari zenyewe hizo zenye bulletproof zinakua customized kutoka huko kwao, trainings za walinzi wa hao viongozi Ni huko huko nje.Aisee wakubwa wakimtaka kiongozi yoyote yule hawamkosi.Hicho kitu haiwezekani kwa dunia ya tatu mjomba
Ukiongelea nchi ya Uingereza Uingereza ni taifa la kwanza duniani linaloongoza katika weledi wa ujasusi na linaongoza pia katika maendeleo ya kimifumo na ustaarabu dunia hii na pia ni taifa lenye nguvu kubwa sana kijeshi duniani kama tutataja mataifa matano yenye nguvu zaidi duniani kivita Uingereza ni mojawapo ya mataifa hayo so taifa litalomuua 'its a death wish for them'
Nchi zetu sababu ya kutokuwa na nguvu kijeshi viongozi wake huwindwa na mataifa makubwa in short kufupisha katika taaluma kuna msemo wa taaluma ya International relations unasema "there is no friendship among states" mataifa yetu ni maadui hivyo wakuu wa nchi yetu watauwawa kama hawatapewa ulinzi na na watauwawa na serikali za mataifa mengine
Duh jamaa walikua wanajua kumpamba Mzee wa watu ππ
upo sahihi kiasi fulani,jana usiku nimesoma mahali wanadai ya kwamba lile tukio la israel kuivamia uganda taarifa zili leak mapema, balozi wa Uganda aliwasikia wanajeshi wa Kenya wakiropoka kwamba israel inakuja kuivamia UgandaHicho kitu haiwezekani kwa dunia ya tatu mjomba