DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Wakuu,
Meli inaweza kumilikiwa na Watanzania, ikaendeshwa na wazambia, ila usajili wake ukafanyika Pakistani.
Kampuni inapofilisika,mkatengana au kubadili Umiliki lazima mrejee Sheria za kiPakistani kumaliza tofauti zenu
Mfano:
1. Mnyakyusa amuoe mmachame, wakafunge ndoa Kenya, kwa Sheria za Kenya na wanapotofautiana wahukumiwe kwa Sheria za Kenya
2. Mghana amuoe Mspain,waishi England ila wakafunge ndoa Afghanistan,kwa Sheria za Afghanistan Na wanapotofautiana wahukumiwe kwa Sheria za Afghanistan.
HII IMEKAAJE?
Nawasilisha🙏