Ha ha ha....hongera kuvuta jiko mkuu😊Mkuu hilo mbona linawezekana mkuu si mkataba na mambo ya uraia tu huoni manji kazikwa USA.. ni hela yako tu...
Ila tuende mbele turudi nyuma si tulikubalina tukengeuke kuhusu huu utapeli uitwao ndoa...
Mimi binafsi nimejitoa kwenye huo mkumbo.. Next month anakuja shemeji yako tufanye maisha... Wanawake zetu huu kwa sasa tuwe wa pole tu ndo tutakaa nao.
Nmewaza Sana waafrika wenzetu wanaooa wazungu wanavyoumizwa uko ulayaKila siku tunawaambia kuhusu Utapeli wa Ndoa lakini hamtaki kusikia wala kuelewa.
Haya bhana, Ngoja tu nijichekee zang.
View attachment 3041075
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hapo kwenye kuchapiwa ndo kunapowaweusha vijana. Unachapiwa kwani umelalwa wewe?Sioni jinsi wazo lako litakavyosaidia kupunguza stress za ndoa.
Ukioa Kenya ukachapiwa hutoumia?
KWANI VYETI UNAVYOPEWA NI VYA SEKONDARI VILEWakuu,
Meli inaweza kumilikiwa na Watanzania, ikaendeshwa na wazambia, ila usajili wake ukafanyika Pakistani.
Kampuni inapofilisika,mkatengana au kubadili Umiliki lazima mrejee Sheria za kiPakistani kumaliza tofauti zenu
Mfano:
1. Mnyakyusa amuoe mmachame, wakafunge ndoa Kenya, kwa Sheria za Kenya na wanapotofautiana wahukumiwe kwa Sheria za Kenya
2. Mghana amuoe Mspain,waishi England ila wakafunge ndoa Afghanistan,kwa Sheria za Afghanistan Na wanapotofautiana wahukumiwe kwa Sheria za Afghanistan.
HII IMEKAAJE?
Nawasilisha🙏
Why afghanstanWakuu,