natamani niandike urithi

Usiandike jina la mama km mrithi! Andika kijana wako then mama yako atakuwa msimamizi. Kuondoa fitna vile vi2 alivyong'ang'ania huyo mwanamke achana navyo tena vimpe kwa maandishi kwamba atavichukua avi2nze kwa niaba ya mwanao,itaondoa mtafaruku ktk family hata ukifa leo, then tafta nyingne, Mungu ndie mpaji wa yote. Pole sn
 
Baba yako kamwandika mrithi mama yake? jiulize hilo kwanza, ujue wewe una family yako na macho na akili yako yote yawe kwenye family yako,kwa mfano watoto wako bado wana nguvu na bado wanahitaji kutoka kwako, mama yako keshaishi maisha yake na usikute sasa hivi anamkopa Mungu muda wa kuwa duniani, kumbuka sasa hivi life expectacy ni 48 kama sikosei, sasa unamwachia mali afanye nazo nini?Hapo utakuwa unakosea sana, Kumbuka ulipotoka na huyo mkeo mpaka mmefika hapo, halafu saa hizi unawaza kufanya kitu kama hicho looooo sijaona baba wa aina yako
 
Hapo umeeleweka ila kama mrithi bado atakuwa mwanao na ndugu zake kama wapo hiyo haikwepeki, chuki zako na mama yake bado hazimnyimi yeye kuwa na haki ya kurithi mali zako, kwanza embu nikuulize, una dalili za kufa hivi karibuni? una maradhi yanakusumbua? kwa nini unawaza negatively about you? huwezi jua what in store, unaweza ishi hao wote unaowataja wakatangulia kabla yako.....Na kumbuka hakuna kitu mtoto anakuja kukuchukia akiwa mkubwa kama akigundua ulimfanyia kitu kibaya utotoni, inaweza kuja kukucost sana kama Mungu atakuweka hai mpaka uzeeni na kuona mafanikio ya mwanao
 


hapo akishindwa kuelewa itakuwa kazi
 
Mama na baba ndo Mungu wa duniani...naamini kama mama yako atakuwa na busara anaweza akatunza mali mpaka mtoto akawa mkubwa akizukuta mali zake... Kama mke umeona hafai hafai kweli.... Heri mama kuliko mke maana ataenda kuolewa tena kama bado afya inadai....Lakini kwanini unahofia afya yako kaka....kama hujapima usiwe na wasi utaishi hadi 2035
 

asante
 

baba yantgu hakuandika urithi kwa kuwa mali zilikuwa za kimila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…