Nimetokea kupenda sana kufanya kazi ya kupiga picha kwa sababu nimekuwa nikitumia sana simu kuwapiga watu picha na wamekuwa wakipenda sana kwani ninawapiga picha vizuri sana.
Mimi kipato changu ninachoendeshea maisha ni 300k natamani kufanya kazi hiyo ya kamera ili nijiongezee kipato japo sina camera zenyewe ili nifanye kazi katika ubora zaidi naombeni msaada wenu .