Natamani nikutane Lulu aka Michael yule muigizaji aliyepewa tuzo!!!

huyu jamaa sio nasikia kaukwa[emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mnavunja haki za watu, mtatafutwa na TCRA kwa kuwataja watu ni + wakati wenyewe wamefanya kuwa siri
 
Karibu ba wewe mungu wangu.Huu wimbo wakati meli ya Titanic inazama.
 
Mna uhakika na mnayoandika ,mtoto mshallah vile awe mgonjwa!!!
Kwani nani amedai anaumwa wewe kaloeke kamba yako usubiri matokeo ila muhimu ujilipie tu kwenye Bango,Winner hutakiwi kuwa mwoga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…